Awe na uwezo mzuri wa kushoot video na kuhariri kwa ubora zaidi pia mwenye ujuzi wa "Motion Graphics" atapewa kipaumbele.
2: I.T/Social Media Administrator:
Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na kila mtu pamoja na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya Kiswahili na Kiingereza fasaha.
3: Secretary:
Sharti awe wa jinsia ya kike.
Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza la kila mtu pamoja na uwezo mzuri wa kuongea na kuandika lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
Kwa mawasiliano zaidi ya namna ya kutuma maombi piga +255757339215.
Post a Comment